Othello

Citation:
Mukhwana A, IRIBEMWANGI PI. Othello. Nairobi: Oxford University Press (OUP); 2012.

Abstract:

Iago ameapa kulipiza kisasi dhidi ya Othello kwa kuivuruga ndoa ya Othello na Desdemona. Njia pekee ya kufanikisha azma yake ni kumghilibu Othello kwa kumdanganya kuwa mkewe ni mwasherati. Je, Iago atafaulu katika azimio hili? Je, Othello atazikubali hila za Iago? Endapo atashawishika, atamchukulia hatua gani Desdemona? Haya ni kati ya maswali anayoyajibu William Shakespeare katika tamthilia hii ya tanzia, ingawa inaburudisha, inafunza na ambayo imekaidi mpito wa wakati. Tafsiri hii imefanywa kwa ufundi mkubwa hivi kwamba ule mvuto na mnato wa kazi asilia umedumishwa.

PreviewAttachmentSize
Othello_Cover.pdf1.84 MB

UoN Websites Search